Monday, 22 April 2013

Mabata Madogodogo

Leave a Comment
 Mabata madogodogo, yanaogelea, yanaogelea,
 katika shamba zuri la bustani x 2
 Yanapenda kutembea bila viatu,
 bila viatu, katika shamba zuri la bustani x 2
 Yanapenda kulia kwakwa, kwakwa, kwakwa
 Kwakwa, kwakwa, kwakwa,
 katika shamba zuri la bustani...
Read More...